JINSI YA KUIFUNGA TAARIFA YAKO YA “WORD FILE” ISIWEZE KUKOPIWA WALA KUBADILISHA CHOCHOTE.
(EDITING RESTRICTIONS)
unaweza kuifanya taarifa yako ya kwenye
Microsoft word isiweze kubadilishwa chochote wala kuikopi na kuipesti mahala
pengine
fuata hatua zifuatzo:
1.
Bofya “review” button ya
ms – word
3.
kwenye machaguo
yaliyotokea (drop list option), bofya Restric Formatting and Editting
4.
Kisha chagua (check) box
la “Allow only this type of editting in this document”
5. Bofya kitufe kilichioandikwa “Yes, start enforcing protection” (Tazama picha hapo juu)
6.
Kisha weka nywila katika
seheu iliyoandika “enter new password”
7.
Weka nywila hiyo hiyo katika
sehemu iloyoandikwa “Reenter password to cofirm”.
8.
Bofya OK button (tazama picha hapo juu)
Kwa kufanya hivyo
utakuwa umefanikiwa kuifunga document yako isiweze kudadilishwa na mtu yeyote,
isipokuwa ataweza kusoma tu.
Ukitaka kubadilisha sasa, utabofya sehemu iliyoandikwa “stop protection”.
Halafu weka nywila katika sehemu iliyoandikwa password. kwa kufanya hivyo utakuwa umefanikiwa kuifungua document yako.
>>>>Sema "Mimi ni mshindi" kwa kutunza document zangu dhidi ya wizi.
Musa Mazimoto
0710100166
....................................
No comments:
Post a Comment